Nimependa Kibajaji cha Ulaya

Zomba vipi tena? Naona umeanza KUOKOKA na kuingia dini ya BOFLO.

Bofloooooo........................
 
dada zetu wakiona tu hicho "kibajaji" wataiga!! watu watatafutana
 
hahahahaaaaa zomba bhana, jana umechafua hali ya hewa kule kwa jukwaa la siasa leo umeibukia huku. Au ni matangazo baada ya habari?

salute mkuu!!!!!

Inspired by Boflo
 
Last edited by a moderator:
Zomba kama Bofloo, hata mimi nimeipenda Bajaji
hiyo, ningeipeleka Makandana Tukuyu ikafanyiwe
kazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…