Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,611
Pole sana.Hellow
Nimepata shida ya mgongo baada ya kuanguka kwenye malumalu niliteleza wakati mvua inanyesha nilikuwa nachota maji sasa bahati mbaya ile napanda ngazi tu nikala mueleka nikajua nakufa kifo cha Kanumba.
Ndio nikajikuta nimeamgukia mgongo jana nikaenda kupiga x-ray nikaambiwa niko vizuri ila ni uvimbe tu sasa nikaambiwa nifanye mazoezi kila siku nikaaza jana nimefanya leo nimeshindwa amka mwili wote una uma
Nitumie dawa gani mzuri au massage itasaidia?
Patarudi kawaida..ni uvimbe wa kujibamiza chini.
Usilalie mgongo kupunguza maumivu
Pole sana
Rudi tena hospitali kwa uchunguzi zaidi
Pole mkuu, [emoji703]
Pole sana.
Kama ulipewa dawa za maumivu kwenye kituo husika, unazitumia lakini maumivu yanakuwa makali zaidi ni vyema kufanyiwa utafiti zaidi/review.
Pia kama unapata ganzi chini ya eneo husika ni vyema kufuata utaratibu hapo juu. Xray pia ina ukomo wake kuonyesha tatizo.
Pole
Kama umepiga x-ray na umeambiwa spinal cord haijapata madhara bhasi ni uvimbewa kawaida. Tumia VOLIN GEL kuapply kilasiku asubuhi na jioni. Sijasema kuchua bali unapaka tu nakumeza dawa za maumivu bhas.Hellow
Nimepata shida ya mgongo baada ya kuanguka kwenye malumalu niliteleza wakati mvua inanyesha nilikuwa nachota maji sasa bahati mbaya ile napanda ngazi tu nikala mueleka nikajua nakufa kifo cha Kanumba.
Ndio nikajikuta nimeamgukia mgongo jana nikaenda kupiga x-ray nikaambiwa niko vizuri ila ni uvimbe tu sasa nikaambiwa nifanye mazoezi kila siku nikaaza jana nimefanya leo nimeshindwa amka mwili wote una uma
Nitumie dawa gani mzuri au massage itasaidia?
Kama umepiga x-ray na umeambiwa spinal cord haijapata madhara bhasi ni uvimbewa kawaida. Tumia VOLIN GEL kuapply kilasiku asubuhi na jioni. Sijasema kuchua bali unapaka tu nakumeza dawa za maumivu bhas.
Utakuja kunishukuru baada ya siku chache kama 3 tu
Pole mkuu