Nimepatwa na msongo wa mawazo

Nimepatwa na msongo wa mawazo

Kaka utauweza ubaba kweli hata huko mbele ya safari?

Mbona ishu ndogo sana hii, ingekuwa una mke mwingine au humpendi binti labda kwa mbaaaaaaali ungekuwa na huo msongo wa mawazo, lakini unasema binti unampenda na huna mpango kumchezea sasa kwa nini usijitambulishe ukalea mimba yako kiongozi hata kwa hizo mia mia zako unazopata.

Wazazio wa binti wanachohitaji ni uhakika tu, wewe kajitambulishe kisha kuwa nao karibui sana alafu wapigie hizo stori za kuunga unga life watakuelewa sana na utashangaa utapata na sapoti juu.

USIJE UKAWAZA KUMSHAWISHI BINTI ATOE HIYO MIMBA!
mwanzo.mambo yangu yalikua yakienda vzr mkuu Ila Sasa nimeanza upya Tena baada ya kurd nyuma kiuchum
 
Hapa nilipo na mawazo mengi Sana nimeona niletee humu jukwaani kidogo mnisaidie angalau kwa usahuri na mawazo wakuu
Kuna msichana Niko nae kwenye mahusiano ni mwaka wa pili Sasa
tunapendana Sana na ninamalengo nae mazuri tu kwa badae Wala sihitaji mchezea.
iisue nikwamba uyu mpenzi wangu amegundulika anaujauzito wangu wa miezi mitatu sasa, baada ya mama ake kugundua kuwa binti yake anaujauzito amemwambia binti yake kuwa natakiwa nikajitambulishe mapema tena haraka sana.
Tatizo nikwamba bado sijajipanga wakuu kuhusu kuoa kutokana na Hali yangu ya Maisha kuwa ngumu kwa Sasa nikiwa bado naangaika kutafuta japo kikazi chochote Cha kuniingzia kipato Cha kila siku
Hivyo nimeambiwa nikajitambulishe ikiwemo na posa kabsa kabla binti hajajifungua nimekua na mawazo Sana ukiangalia napambana kutafuta pesa kwaajili ya kulea mimba hadi kujifungua gharama zote
huku bado nawaza kwenda kujitambulisha lazma nikatoe posa nipesa inahitajika hiyo ukiangalia kazi zangu bado ni zakuunga unga hapa napale siku iende
hivyo nipo kwenye mawazo wakuu nimesisitiziwa niwahi kutoa posa mapema kabla binti hajajifungua
[emoji3] mkuu mambo kama ukisikiliza ushauri mwingi, utachizika mwisho wa siku maana utapanic, halafu utashindwa kufanya maamuzi, nilicheka kwanza maana ilinikutaga enzi hizo bana, Nilichofanya nilisikiliza shauri chache na kufanya maamuzi mimi kama mimi. Hizo presha za kwamba unahitajika ndo kinachokupa mawazo, kwanza tuliza akili halafu waambie umesafiri kidogo, ila utakuja. Sogeza siku huyo dogo awe anakupa feedback, ila usimhusishe plan zako zote........

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
nikwel mkuu issue inakuja binti ye anajua Hali yang halisi kwa Sasa Ila ndo Kama anazidisha Nipa stress kila sku mama anataka uende me nipate ishi kwa amani mala maneno ya watu mtaani watanionaje najaribu mtuliza kuwa napambania kutafuta hela kwa mud huu Tyler mimba had uzaz lakin haelew
 
Fuata moyo ila usisahau akili mkuu, itakugharimu usikimbilie maisha ya ndoa, mwisho wa siku urudishe mpira kwa kipa, Ukiona mbinu zako zote zimefeli mshirikishe mzee,. Hata kama hazijafeli usiache kumshirikisha au mtu wa nyumbani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ulilolitaka umeshalipata sasa nenda kajitambulishe tu.
 
Wakati unamfanya ulikua umejipanga, ila kapata mimba hujajipanga...

Punguza ujinga...
 
Hapa nilipo na mawazo mengi Sana nimeona niletee humu jukwaani kidogo mnisaidie angalau kwa usahuri na mawazo wakuu
Kuna msichana Niko nae kwenye mahusiano ni mwaka wa pili Sasa
tunapendana Sana na ninamalengo nae mazuri tu kwa badae Wala sihitaji mchezea.
iisue nikwamba uyu mpenzi wangu amegundulika anaujauzito wangu wa miezi mitatu sasa, baada ya mama ake kugundua kuwa binti yake anaujauzito amemwambia binti yake kuwa natakiwa nikajitambulishe mapema tena haraka sana.
Tatizo nikwamba bado sijajipanga wakuu kuhusu kuoa kutokana na Hali yangu ya Maisha kuwa ngumu kwa Sasa nikiwa bado naangaika kutafuta japo kikazi chochote Cha kuniingzia kipato Cha kila siku
Hivyo nimeambiwa nikajitambulishe ikiwemo na posa kabsa kabla binti hajajifungua nimekua na mawazo Sana ukiangalia napambana kutafuta pesa kwaajili ya kulea mimba hadi kujifungua gharama zote
huku bado nawaza kwenda kujitambulisha lazma nikatoe posa nipesa inahitajika hiyo ukiangalia kazi zangu bado ni zakuunga unga hapa napale siku iende
hivyo nipo kwenye mawazo wakuu nimesisitiziwa niwahi kutoa posa mapema kabla binti hajajifungua
Pole sana
Bila shaka wew ni mdogo kiumri...
Maana tunaamini kuwa ukimwagia ndani means unahitaji mtoto

So wew umemwagia halafu ukaona miujiza itatendeka
Binti hatobeba mimba
 
Hapa nilipo na mawazo mengi Sana nimeona niletee humu jukwaani kidogo mnisaidie angalau kwa usahuri na mawazo wakuu
Kuna msichana Niko nae kwenye mahusiano ni mwaka wa pili Sasa
tunapendana Sana na ninamalengo nae mazuri tu kwa badae Wala sihitaji mchezea.
iisue nikwamba uyu mpenzi wangu amegundulika anaujauzito wangu wa miezi mitatu sasa, baada ya mama ake kugundua kuwa binti yake anaujauzito amemwambia binti yake kuwa natakiwa nikajitambulishe mapema tena haraka sana.
Tatizo nikwamba bado sijajipanga wakuu kuhusu kuoa kutokana na Hali yangu ya Maisha kuwa ngumu kwa Sasa nikiwa bado naangaika kutafuta japo kikazi chochote Cha kuniingzia kipato Cha kila siku
Hivyo nimeambiwa nikajitambulishe ikiwemo na posa kabsa kabla binti hajajifungua nimekua na mawazo Sana ukiangalia napambana kutafuta pesa kwaajili ya kulea mimba hadi kujifungua gharama zote
huku bado nawaza kwenda kujitambulisha lazma nikatoe posa nipesa inahitajika hiyo ukiangalia kazi zangu bado ni zakuunga unga hapa napale siku iende
hivyo nipo kwenye mawazo wakuu nimesisitiziwa niwahi kutoa posa mapema kabla binti hajajifungua
Mjinga wewe.
Kujitambulisha unahitaji hela ngapi?
Nyie ndo hit and run, usichezee watoto wa watu halafu uje kuimba nyimbo zako MMU.
Wajibika
 
Kajitambulishe wakigundua ni kapuku watakutimua utakua umeepuka mzigo wa posa,mahari ila wa malezi utabaki pale pale maana na binti atatimuliwa siku mbili mbelen
 
mbona ishu ndogo tu, kama kwa sasa huna hela huna haja saana ya kujikamua we relax tu endelea na mishe mishe, mtoto ni wako na mke ni wako tu.
wazazi weng linpotokea swala la mtt kupata ujauzito akiwa bado nyumbani hulazimisha vitu km posa ili kukwepa ile aibu kwa jamii lkn ht usipotoa iyo posa kwa sasa watakasirika san tu lkn siku utayoamua kwenda kutoa posa watakupokea tu na undugu utaendelea km kawaida..
Anaweza porwa mke na mtoto na wajuba
 
Mtoto baraka we nenda huko huko kupata mtoto kwa dunia ya sasa kwa njia yeyote ni furaha sioni tatizo kikubwa una malengo naye

Kawasanue baadhi ya wazazi wanakuonea huruma kutokana na mjukuu wao wanaweza kukupa chochote kitu
 
Back
Top Bottom