Nimepatikana!

Kizizi hicho tayari hamna namna nyingine oa tu huyo
 
hakuna limbwata wala nini ni kuwa ule ulikuwa ni ujana na sasa akili na fikra zako zimeanza kujijenga ktk mtazamo wa kifamilia pasipo wewe kujua, hasa ukizingatia hao watoto mlionao inakuwa ngumu kuanza ku du na kuacha tena. cha kufanya mkalishe huyo binti mwambie wataka umuoe kabisa na kwao mpange mapema ukajitambulishe...akishajua malengo yako nae atatulia hata hivyo vituko ataacha. nakushauri usimwache maana wanao watateseka bure. ushakuwa baba sasa angalia familia yako achana na mambo ya videmu vitakuchuna hela ambazo sasa watakiwa kuzitumia kulea wanao.
 

Muanzisha mada fata ushauri huu tafadhari
 

Exactly do this bro
 
Last edited by a moderator:

Hahaha siyo limbwata Chief, subconscious inakwambia ushafanya sana na sasa una watoto, tulia.

Ndio kukua huko.
 

asante kwa ushaur ndugu.
 
Hilo ni limbwata tena la kilo 10 umeshashikishwa adabu tayari papara papara kwisha habari yake unacheza na mwanamke!!!!! sasa subiri soon utaanza kufua nguo, kudaeki, kuogesha watoto, kupika, kukuna nazi n.k
 
Wanasema ukikuwa utaacha. Unakuwa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…