Nimepata wazo la kulima

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,951
Reaction score
14,771
Sehemu flani hivi chaka kimtindo,
Kando ya kimfareji flani ambacho hakikauki mwaka mzima,
Naenda kupiga kambi nitaishi hapo hapo

Nitalima tu mboga mboga twa fasta kama mchicha na spinachi mixer bamia na pili pili.

Pia nitaweka tu migomba na tu papai,,,nitatia sungura na tu kuku twa kienyeji,,,kusaidia mbolea...

Kama vipi nitatengeneza mtambo wa gongo humohumo au sio VP bwan'

Kuhusu upwiru najua sitakosa mushangazi flan hivi ambae atakuwa tayari kuishi kwenye mazingira ya KITURISTI,

Kwa upande wa nyanya nataka niwe ninavuna kila wiki sambamba na bamia.

Mboga nyingine nitakuwa navuna kila siku iitwayo LEO,
Uzi tayari
SUBMITED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…