TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,295
MUME : Mkewangu nimepata tatizo kazini
MKE : Mumewangu unakosea mimi nawewe nimwilimmoja hivyo sema tumepata tatizo kazini
MUME : Sawa mke wangu, tumezaa na secretary
Jamaa mpaka sasa hajazinduka baada ya kupigwa na meza kichwani