Nimepata soft loan bila riba

sichangiii tena huu mjadara
 

hii deal ni kubwa mno. Inafaa wafanya biashara wakubwa wakubwa ambao kwanza wana uzoefu na biashara kubwa kubwa sio kama sisi walala hoi.
 
Hela nnaitaka, lakini kurudisha ndani ya miezi mi2 jamani, khaaa! Una hakika ikipita miezi hiyo mi2 hujarudisha haji na SMG kweli? Manake biashara ya halali ya kurudisha bil 1 ndani ya miezi miwili mmh...
Hapo kwenye RED,Nimecheka sana...ahahhahaha JF ni noumer.....
 
Mi nahisi huyu mwenye funds hizi anataka kupata ''Business Ideas''.....ili achangamkie fasta.Wana JF endeleeni kutoa ''ideas'' zenu
Wajinga ndio waliwao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…