Nimepata ofa ya penzi la bibi kizee safarini

dadeki, na ARV zinazidi kuingizwa kontena kwa makontena
 
Babu nikwambie kitu, nimekumiss kuliko maelezo. Ukinipa location yako hapa au PM nakuibukia ulipo kabla jua halihazama.

Nataka safari zilizobakia tusafiri wote.

Baby Big Sam Original mwenyewee..... Wengine wote washika mapembe.

Kasie Mahaba.
Sasa chagua wewe... nikupee hapa au PM. Nimechoka kusubiri mimi bhana
 
Sasa chagua wewe... nikupee hapa au PM. Nimechoka kusubiri mimi bhana

Twende chumbani babuu tusimwage kuku kwenye mchele mwingi, ukiweka hapa watatuzonga makutano yetu yasifanyike. Si unajua wengi wako macho kodo.....

Kasie Mahaba.
 
Twende chumbani babuu tusimwage kuku kwenye mchele mwingi, ukiweka hapa watatuzonga makutano yetu yasifanyike. Si unajua wengi wako macho kodo.....

Kasie Mahaba.
Nami nasema, mahaba niue.

Ache nikadedi kwa Kasie...

Liwalo na liwe...

Nshafika PM nakusubiri kwa mahaba huba...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…