Nimepata nimpendae

Nimepata nimpendae

Umeshawahi kuwa na kidonda ama kipele ambacho kinauma. Na ukikaa unakishika tu kama vile hautaki kusahau kinauma kikishikwa?
Kazi ipo.
anataka kusikia ushauri na vimaneno vya kimbea apate neno la kuumiza moyo wake.
 
anayekupenda utamjua tu...wewe mwenyewe
 
We ni manka wa wapi? Unataka afanye kitu gani ili uamini kuwa anakupenda?
 
jamani nimepata nimpendae, nahisi ananipenda sana sana,naombeni ushauri wenu wadau nitajuaje ananipenda.Kwani kwa upaande wangu anasifa ninazohitaji kwa mwanaume nae anasema ananipenda nitajuaje nishaurini jamani

Hongera baaaaaacccccc
 
jamani nimepata nimpendae......nahisi ananipenda sana sana........anasema ananipenda........nitajuaje nishaurini jamani

Correction:
nimepata anipendae nitajuaje kuwa ananipenda .......

Ushauri:
HAKUNA USHAURI WA MAANA HUMU KWA LEVEL YAKO ......... bado unaonekana ni kruta kwenye mapenzi ...... wape papuchi walau wanane kumi hv wasogeze mileage ...... akili ikukae sawa kidogo...... BINTI HUJUI KUMBAINI ANAEKUPENDA???????
 
We unasema unahisi anakupenda then unasema utajuaje? Ni akili au mfano wa akili?
 
Manka, aseeh unapaswa kuwa makini na wapenzi wa mitandaoni, kuna mambo mawili ambayo kat ya hayo mojawapo laweza kuwa sababisho la kumuingza eidha mwanaume au mwanamke kwenye mahusiano yaliyo sahih ama yasiyosahih. Upendo unaweza kukuingiza kwenye mahusiano yaliyosahh lakini tamaa inaweza kukuingiza kwenye mahusiano yasiyo sahh tena yenye mwisho wa majuto. Sasa hapo unakazi ya kung'amua kama huyo unayesema anakupenda kama kweli anakupenda au anakutamani. Kazi ni kwako!
 
Kama ana sifa uzitakazo na unahisi anakupenda, what else do you want?

Hapo sasa? Angoje msimu wa ma ngumi na makonzi ukifika maana in short run kila mtu alifurahia mapenzi tatizo lipo kwenye long run.
 
jamani nimepata nimpendae......nahisi ananipenda sana sana........anasema ananipenda........nitajuaje nishaurini jamani

Correction:
nimepata anipendae nitajuaje kuwa ananipenda .......

Ushauri:
HAKUNA USHAURI WA MAANA HUMU KWA LEVEL YAKO ......... bado unaonekana ni kruta kwenye mapenzi ...... wape papuchi walau wanane kumi hv wasogeze mileage ...... akili ikukae sawa kidogo...... BINTI HUJUI KUMBAINI ANAEKUPENDA???????

bado mdogo we huoni hapo kaandika as if anashangilia
 
Back
Top Bottom