Nimepata mwanamke aliyenizidi umri

Nalipendaje hi li jukwaaaaa??/ sijapita huku kitambo natoaje macho?? Hot topics, khaaaa! gfsonwin mekumiss ujue! Uje kesho tutoke tuyatafakari na haya ya walimwengu!
mwali af ujue nimeacha kikoi kwako na viatu?? hahahahahahahaha
tutaftane. salam kwa twins.
Annabella yuko poa sana ananipa uchizi


nahitaj shakamoo ujue, af niambie mdogowe Annabella hajambo?
 
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi

Mimi nina miaka 25 yeye ana miaka 29.

Ila tunapendana drop your comments please.

mambo mengine tumieni akili za kuzaliwa, dogo bado upo sekondary af dem wako yupo chuo istoshe kakuzidi umri, hiv unategemea kweli kuanzisha familia, labda uolewe
 
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi

Mimi nina miaka 25 yeye ana miaka 29.

Ila tunapendana drop your comments please.

kwa iyo wew ndo utakuwa ni nan? maana hata ubaba ujaqualify.umedanganywa na ile kazi yake? maana nakujua sana
 
mambo mengine tumieni
akili za kuzaliwa, dogo bado upo sekondary af dem wako yupo chuo istoshe
kakuzidi umri, hiv unategemea kweli kuanzisha familia, labda
uolewe

mwambieee kiukweli hamfai maana kaka huyu namjua kwanza ana sura ya kitoto afu mdada kakomaa uso tho mdada ana shape na kazi yake ila hakufaii
 
Back
Top Bottom