Hapa umekurupuka aisee haha inamaana una uhakika umedelete kila kitu kwa ilo/uliyekuwa naye hapo nyuma??? Mara siku moja anakukumbuka anaamua kukupotezea mood kwa maneno lainiiiii as if mlikuwa naye jana hahahahaaaa apo ndo utajua umepata mume au researcher wa mambo yako
nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu