Nimepata mpenzi

Mimi nasubiri thread itakayofuata Baada ya hii
 
kabisa kama upo siriaz mungu anakupa mtu ambaye hayuponsiriaz and like wise maana hawa walioko jf ndo hao hao wapo mtaani


Mungu akipanga mtu hapangui !
Kama ipo ipo tu !

Mi nawatakia maisha marefu !
Yaliyo na mafanikio mema !

Amina = naiwe
 
Mungu akipanga mtu hapangui !
Kama ipo ipo tu !

Mi nawatakia maisha marefu !
Yaliyo na mafanikio mema !

Amina = naiwe

asante mkuu tuombeane uzima nitakualika
 
Ushauri kwako masai dada; andika PM kwa Invisible ukimuomba afunge ile thread yako ya kutafuta mchumba.
 
Last edited by a moderator:
honger san mkuu, tunashuru kwa hii feedback natumai mtafik mbali.
 
sahihisha hapo dada yangu otherwise..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…