Nimepata mpenzi Jf

Nimepata mpenzi Jf

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2019
Posts
588
Reaction score
869
1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf

2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.

3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.

4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, kama bustani iliyojaa manukato na manemane.

5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu

6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta

7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.

Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wana Jamii forum

#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda

#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
 
Ohooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Wapo mabaharia kama wote jf, lakini pia kuna watu wema, usiconclude kwa namna wewe ulivyo basi wote wapo hivyo, generalization ndo inafanya hata watu wema kuonekana wabovu

Kama baharia hata mtaani wapo

So no matter ni wapi umekutana na mtu, mtu mwema atabaki kuwa mwema na baharia baharia ova
 
1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,

mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi.

2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,

nywele zake ni za ukoka,

nyeusi ti kama kunguru.

3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,

ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.

4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani

kama bustani iliyojaa manukato na manemane.

5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu

6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta

7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,

kwa ujumla anapendeza.

Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,

naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,

enyi wanawake wa Jamii forum

#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, I promise to love yu forever

#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
Sanaa yako ya maneno ni nzuri. Kwanini tusiandike bible mpya tuseme tumeoteshwa kisha tuwapige mazuzu hela hapa mjini?
 
Na iwe kama ulivyosema
1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,

mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi.

2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,

nywele zake ni za ukoka,

nyeusi ti kama kunguru.

3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,

ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.

4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani

kama bustani iliyojaa manukato na manemane.

5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu

6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta

7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,

kwa ujumla anapendeza.

Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,

naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,

enyi wanawake wa Jamii forum

#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, I promise to love yu forever

#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
 
Wapo mabaharia kama wote jf, lakini pia kuna watu wema, usiconclude kwa namna wewe ulivyo basi wote wapo hivyo, generalization ndo inafanya hata watu wema kuonekana wabovu

Kama baharia hata mtaani wapo

So no matter ni wapi umekutana na mtu, mtu mwema atabaki kuwa mwema na baharia baharia ova
Umesema vyema kabisa. Watu wapo tofauti hao wa mtaani ndio hao hao ambao wapo jf
 
Back
Top Bottom