Nimepata mke mtarajiwa ila nashindwa.......

Nimepata mke mtarajiwa ila nashindwa.......

Wakubwa zangu nawasalimu Sana,

Nimepata namba za huyu Binti ambaye anafanya Moyo wangu uwake moto na kukukuruka naombeni msaada wenu nawezaje Anza mawasiliano na yeye ili na Mimi nifaidi mema ya nchi.

Mimi ni Domozegee.

Find this book
IMG_0419.jpg
 
Hiyo namba umeipataje? Tuanzie hapo kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom