Yes, atleast wew umeonesha wazi mgeni wetu anaweza kufundisha ustaarabu na akastaarabika.Tumia ujanja huu:
1. Wakati anakula embe wewe ita mtoto wako kwa sauti kwa kusema ''wewe fulani, umekaa unacheza tu! Mletee mgeni kitu cha kuwekea mabaki ya embe ili akimaliza apate urahisi wa kwenda kumwaga''!
2. Hili japo siyo issue sana, lakini unaweza kutumia tena watoto. Unamwita mtoto (wakati mgeni yupo) unamwambia ''angalia umeanza tena kuminya dawa ya mswaki ndivyo sivyo. Nilikufundishaje? Si nilikuwa uanze kuminya chini kwenda juu?''
3. Hilo nalo ukiona ameshika jagi unapaza sauti. ''Jamani mbona hamjasogezea mgeni glass mnamwacha anateseka kunywa maji na jagi kama yuko kambi ya fisi?''
Umemaliza vizur..Hivyo mara nyingi ni malezi tu..!!
‘Badilika’Sasa, kuwa moja ya hao watu(jamii), mfundishe ustaarabu mbalimbali apate kubadirika. Niamini huyo anaweza badirika. Au ni ndugu upande wa mume basi unakosa confidence ya kumuelekeza mambo.
Nadhani wewe ndio umeamua kukaza fuvu mkuu. Kwa issue ya ustaarabu na adabu, kama ungekuwa unazungumzia kuwafundisha watoto au watu ambayo ni sehemu ya maisha Yako hapo nyumbani, Wala nisingepingana na wewe.Maelezo marefu sana.
In short umechagua kukaza fuvu mkuu.
Ishu sio madhara ishu ni ustaarabu na adabu.
Hii hoja ni dhaifu kwa lalamiko namba 1 & 3 la mtoa mada.Umemaliza vizur..
Sasa ndio hivyo usitumie orientation yako ya malez ku dedine standard za watu wengine na kuanza kuwaona watu sio kama mleta mada hapo.
Learn from people help them adjust.
Na sifa kubwa ya mtu mwenye akili timamu ni switch aendane na mazingira.
Si kwakua wewe hushik mkaa kwa mikono bas uende kwenye utamaduni wa wengine uanze kuleta style hizo, hapo lazima uonekane mzinguaji na much know
Exactly..halaf anapenda kulalamikia pembeni kitu ambacho inakua kama unafiki. Be straight..mpe utu ukwel. Hapo si kwako. Mtu aishi kwa taratibu zako unazotaka..atazijuaje?? Mpe maelezo.Mpaka hapo una chaguzi 2 tu.
Mfukuze au mwelimishe
Tatizo lipo kwako umezoea kulalamika badala ya kufanya maamuzi
Hahahaa daah, sawa bhana....nitabadilika. hapo vipi?😂‘Badilika’
Hapo fresh..Hahahaa daah, sawa bhana....nitabadilika. hapo vipi?😂
Uko sahihi.. tatizo wazaz hawa vujana bado wengi wana element za utotoNinachozungumzia Mimi, huyo ni mgeni. Pengine huo ustaarabu ulionao wewe, yeye hana. Ni mtu wa kupita tu hapo kwako, kuna ugumu Gani kumvumilia kwa jambo dogo kama ilo? Maana Iko wazi huwezi kumwambia.
Kuna baadhi ya vitu ni kufunika tu, maisha yasonge.Uko sahihi.. tatizo wazaz hawa vujana bado wengi wana element za utoto
Mimi dizain ni wale ikitokea bahati mbaya (nasema bahati mbaya maana siyo rahisi unikute nimekuwa mgeni wa mtu nyumbani kwake) huwa naaga nikianza kuona mazingira yoyote ya kuambiwa “karibu tule”,hata vinywaji huwa sipendi kwanini niwe mgeni kisha nimtie mtu hasara?Table manner nyingine ni pamoja na kijiko unapokoroga chai yako kisitoe mlio kwa kubamiza kuta za kikombe. Koroga kwa ku balance pale kati.
Chukueni hiyo.
Iko very relevant.Hii hoja ni dhaifu kwa lalamiko namba 1 & 3 la mtoa mada.
Nimejaribu kuipata maana yako nimeikosa kabisa..!!Umemaliza vizur..
Sasa ndio hivyo usitumie orientation yako ya malez ku dedine standard za watu wengine na kuanza kuwaona watu sio kama mleta mada hapo.
Learn from people help them adjust.
Na sifa kubwa ya mtu mwenye akili timamu ni switch aendane na mazingira.
Si kwakua wewe hushik mkaa kwa mikono bas uende kwenye utamaduni wa wengine uanze kuleta style hizo, hapo lazima uonekane mzinguaji na much know
Muambie mtoa mada amuelekeze mgeni wake, mie wangu huwa nawaelekeza vyema kabisa,Sasa, kuwa moja ya hao watu(jamii), mfundishe ustaarabu mbalimbali apate kubadirika. Niamini huyo anaweza badirika. Au ni ndugu upande wa mume basi unakosa confidence ya kumuelekeza mambo.
Ndugu lawama1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess