Dah qqmk 😁😁😁 Haya maisha aya. Mwamba X kaja Dar kutembea tu.Baadhi ya watz ni watu wa ajabu. Jamaa alinipigia simu anakuja kwenye interview ya kazi nikasema fresh njoo tu nakupokea hakuna shida. Eeehh naenda stendi kumpokea huyu rafiki yangu "Y" naona yuko na mtu mwingine "x" anatufata nyuma nyuma tunaingia kwenye gari naona "x" anaingia nauliza nani huyu ndo jamaa "Y" anasema huyu ni rafiki yangu. Namuuliza je na yeye "X" kaja kwenye interview? Jamaa anasema hapana yeye kaja kutembea tu.
Kufika home yule mwamba X aliyekuja kutembea kumbe anavuta sigara kama kichaaa. Mimi na moshi wa sigara hatupatani hata kidogo mwamba akiingia ndani nyumba nzima moshi unanuka.
Nikamuambia yule mwamba X mimi na sigara hatupatani naomba usivute sigara nyumbani kwangu mwamba akanielewa. Baada ya kufanya interview yule rafiki yangu Y akasema hawezi kuondoka hadi majibu yatoke nikasema fresh. Baada ya majibu kutoka akawa amekosa nafasi nikajua sasa anasepa heee naona siku na kwanza, ya pili, ya tatu wapo tu.
Nikaona yule mwamba Y mvuta fegi ameanza kufukuzia mwanamke nyumba ya jirani ambao tunaheshimiana sana nikaona wema utaniponza. Mimi nika deal na rafiki yangu tu. Nikamwambia sasa mimi nasafiri rafiki yangu akasema we nenda utatukuta tu mkuu ukirudi. Nikamwambia hapana kubaki mimi nasafiri kesho kutwa nyinyi mnaondoka kesho asubuhi mapema. Ndio ulikua mwisho wa mawasiliano.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Yule mwamba alinichosha narudi home napata taarifa ananyatia mke wa mtu jirani. Alafu jirani yangu tunaeshimiana sana.Dah qqmk [emoji16][emoji16][emoji16] Haya maisha aya. Mwamba X kaja Dar kutembea tu.
Toa grass, mpatie glass cup anaweza kustaarabika3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
namba mbili ina shifa gan??
whats wrong na nyie watu kuhusu dawa ya meno
Dawa hata unapoanza mara ya 1 unatakiwa uanze kuminya chini. Haiminywi kuanzia juu. Kama ulikua hujui chukua hiyo usije kutoa boko ugenini.Hayo mengine sawa. Ila hiyo namba 2 mbona kama ni issue ndogo tu. Maana dawa ikikaribia kuisha lazima aanzie chini kuiminya.
🤣🤣Ulifanya vyemaBaadhi ya watz ni watu wa ajabu. Jamaa alinipigia simu anakuja kwenye interview ya kazi nikasema fresh njoo tu nakupokea hakuna shida. Eeehh naenda stendi kumpokea huyu rafiki yangu "Y" naona yuko na mtu mwingine "x" anatufata nyuma nyuma tunaingia kwenye gari naona "x" anaingia nauliza nani huyu ndo jamaa "Y" anasema huyu ni rafiki yangu. Namuuliza je na yeye "X" kaja kwenye interview? Jamaa anasema hapana yeye kaja kutembea tu.
Kufika home yule mwamba X aliyekuja kutembea kumbe anavuta sigara kama kichaaa. Mimi na moshi wa sigara hatupatani hata kidogo mwamba akiingia ndani nyumba nzima moshi unanuka.
Nikamuambia yule mwamba X mimi na sigara hatupatani naomba usivute sigara nyumbani kwangu mwamba akanielewa. Baada ya kufanya interview yule rafiki yangu Y akasema hawezi kuondoka hadi majibu yatoke nikasema fresh. Baada ya majibu kutoka akawa amekosa nafasi nikajua sasa anasepa heee naona siku na kwanza, ya pili, ya tatu wapo tu.
Nikaona yule mwamba Y mvuta fegi ameanza kufukuzia mwanamke nyumba ya jirani ambao tunaheshimiana sana nikaona wema utaniponza. Mimi nika deal na rafiki yangu tu. Nikamwambia sasa mimi nasafiri rafiki yangu akasema we nenda utatukuta tu mkuu ukirudi. Nikamwambia hapana kubaki mimi nasafiri kesho kutwa nyinyi mnaondoka kesho asubuhi mapema. Ndio ulikua mwisho wa mawasiliano.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Baadhi ya watz ni watu wa ajabu. Jamaa alinipigia simu anakuja kwenye interview ya kazi nikasema fresh njoo tu nakupokea hakuna shida. Eeehh naenda stendi kumpokea huyu rafiki yangu "Y" naona yuko na mtu mwingine "x" anatufata nyuma nyuma tunaingia kwenye gari naona "x" anaingia nauliza nani huyu ndo jamaa "Y" anasema huyu ni rafiki yangu. Namuuliza je na yeye "X" kaja kwenye interview? Jamaa anasema hapana yeye kaja kutembea tu.
Kufika home yule mwamba X aliyekuja kutembea kumbe anavuta sigara kama kichaaa. Mimi na moshi wa sigara hatupatani hata kidogo mwamba akiingia ndani nyumba nzima moshi unanuka.
Nikamuambia yule mwamba X mimi na sigara hatupatani naomba usivute sigara nyumbani kwangu mwamba akanielewa. Baada ya kufanya interview yule rafiki yangu Y akasema hawezi kuondoka hadi majibu yatoke nikasema fresh. Baada ya majibu kutoka akawa amekosa nafasi nikajua sasa anasepa heee naona siku na kwanza, ya pili, ya tatu wapo tu.
Nikaona yule mwamba Y mvuta fegi ameanza kufukuzia mwanamke nyumba ya jirani ambao tunaheshimiana sana nikaona wema utaniponza. Mimi nika deal na rafiki yangu tu. Nikamwambia sasa mimi nasafiri rafiki yangu akasema we nenda utatukuta tu mkuu ukirudi. Nikamwambia hapana kubaki mimi nasafiri kesho kutwa nyinyi mnaondoka kesho asubuhi mapema. Ndio ulikua mwisho wa mawasiliano.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hana malezi huyoDawa hata unapoanza mara ya 1 unatakiwa uanze kuminya chini. Haiminywi kuanzia juu. Kama ulikua hujui chukua hiyo usije kutoa boko ugenini.
Ndugu watu wamekulia porini,chai wananywea kwenye majagi,watajua hayo?🤣🤣Table manner nyingine ni pamoja na kijiko unapokoroga chai yako kisitoe mlio kwa kubamiza kuta za kikombe. Koroga kwa ku balance pale kati.
Chukueni hiyo.
Table manner nyingine ni pamoja na kijiko unapokoroga chai yako kisitoe mlio kwa kubamiza kuta za kikombe. Koroga kwa ku balance pale kati.
Chukueni hiyo.
Nimesoma michango ya wengi wanaona namba 2 ile ya dawa ya meno ni sawa. Wengi hawajui basics. Sio makosa yao.Hana malezi huyo
Hivo vitu vinafundishwa utotoni
Wanangu tu wadogo wanatambua Hilo,itakuwa lijitu lizima liloanza kuota mvi.
SawaaaaAnd what if I am the designated drama queen on the said table?! Jukumu langu kuhakikisha mpaka jirani yako nyumba ya tatu kasikia nipo.
🤣Bwana mbona mi mbeba tofari nimekulia home Meru najua hayaNdugu watu wamekulia porini,chai wananywea kwenye majagi,watajua hayo?🤣🤣
Malezi hayo, si ajabu hata wanao wako hivyo ila huwezi wagundua maana wife anaficha madhaifu yao.
Subiri waende ugenini wakutie aibu kama huyo mgeni wako.