Nimepata mchumba au kombora?

Kaka mwambie achukue tax utalipia ww ukituma hela ataanza mama amelazwa cwezi kuja Mara nimefiwa sabb zitakuwa mia
 
ulimpata jf? amini nakwambia akiiona hii post...itakuwa hatari kwa afya yako
na wameachana kimtandao mapenzi ya mitandaoni yana raha ni bora niende hata pale sinza afrika sana niopoe dada poa awe mke kuliko mtandaoni
 
MIMI BINAFSI SITUMI HATA SHINKUMI....TUKIONANAN LABDA NDO NAWEZA MPA HIYO HELA.....TENA KWA HIARI N AKWA MIMI HAIFIKI 50
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…