machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,334
- 5,326
Jibu swali hilo halafu ntachangia kitu maana nliwahi pata tatizo hilo kipindi fulani hivi nikapata dawaHuwa wakohoa zaidi mchana au hata usiku pia (ukiwa umelala usiku wapata pia kikohoo)?
Mdogo wangu pia alihangaika na tatizo hili, siku moja tukajaribu kumtafutia dawa ya asili(miti shamba),tangu amalize hiyo dawa hakuumwa tena ni miaka kama 15 imepita hasumbuliwi kabisa na hilo tatizoHabari zenu wakuu?
Nina tatizo la kukohoa kwa muda mrefu nilienda hospital wakanipima makohozi kuangalia kama Nina tb lakini sikuwa nayo wakanipiga xray ya kifua wakaniandikia dawa za pneumonia nikapata nafuu kidogo lakini hali ikajirudia ile ile...
Kuna muda huwa kinabanaKuna uwezekano mkubwa ukawa na mzio ktk njia yako ya hewa
Je kifua huwa hakibani?
Zaidi huwa ni usiku kila mchana pia nakohoaJibu swali hilo halafu ntachangia kitu maana nliwahi pata tatizo hilo kipindi fulani hivi nikapata dawa
Dawa gani ya asili nijuze mkuu na pia naweza kuipataje?? MsaadaMdogo wangu pia alihangaika na tatizo hili, siku moja tukajaribu kumtafutia dawa ya asili(miti shamba),tangu amalize hiyo dawa hakuumwa tena ni miaka kama 15 imepita hasumbuliwi kabisa na hilo tatizo
Hapana huwa sipati homaHomaa huwa hajisikiii!??
Asante kwa ushauriKula matunda hasa yenye vitamin C.
Mdogo wangu pia alihangaika na tatizo hili, siku moja tukajaribu kumtafutia dawa ya asili(miti shamba),tangu amalize hiyo dawa hakuumwa tena ni miaka kama 15 imepita hasumbuliwi kabisa na hilo tatizo
Maelezo zaidi huenda una matatizo ya moyoTafuta mkata vimeo akuangalie kimeo, kwa kawaida kikirefuka huwa nishida, mdogo wangu alikuwa na tatizo la hivyo hosp. alizungushwa zungushwa tuu ila mkata vimeo alifanya yake dogo hajawahi kusumbuliwa tena na vikohozi visivyo tibika!