Sasa changia JF Tshs 30,000/= Kwa Mwaka ili kuiwezesha JamiiForums na upate kuwa JF Gold Member, Ujulishwe kinachojiri kwa SMS BURE Mwaka Mzima. Si umepaona pa kubofya hapo kulia chini?
cc: Invisible, PAW, AshaDii etc
Kwa lipi ndugu?Naww unezid kujipendekeza, khhaaaaah
Sasa changia JF Tshs 30,000/= Kwa Mwaka ili kuiwezesha JamiiForums na upate kuwa JF Gold Member, Ujulishwe kinachojiri kwa SMS BURE Mwaka Mzima. Si umepaona pa kubofya hapo kulia chini?
cc: Invisible, PAW, AshaDii etc
Bado najipanga lkn nina mpango wa kufanya hivyo
Written, Oral na Practical
Umepata kitengo gani mkuu
fafanua hapo kwenye practical mlipewa nn
Niliona tangazo la kazi humu JF, nilituma mamombi na nikaitwa kwenye interview. Nilikuja kuomba ushauri hapa na watu wakafunguka vilivyo. Tulikuwa watu 46 nafasi zilikuwa 4. Namshukuru Mungu baada ya siku tatu nilitaarifiwa nimepata kazi.
Tayari nimeripoti eneo langu la mwezi wa pili sasa na hela ya kujikimu nimepewa 14 days kama kawaida maana ni taasisi ya UMMA.
Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
Nashukuru kwa ushauri wako, japo kuukubali au kuukataa linabaki kuwa jukumu langu. Lkn umeona mbali ambapo wengi wanaficha lkn wanafanya.
Sasa changia JF Tshs 30,000/= Kwa Mwaka ili kuiwezesha JamiiForums na upate kuwa JF Gold Member, Ujulishwe kinachojiri kwa SMS BURE Mwaka Mzima. Si umepaona pa kubofya hapo kulia chini?
cc: Invisible, PAW, AshaDii etc
Jamaa maswali yasiyo ya msingi anajibu vizuri, hafu ya msingi anarashia rashia tu. Kweli alieshiba hamkumbuki mwenye njaa...:A S thumbs_down: