Nimepata Hawara

Hivi wewe ni hawara au kidumu??


Afu uliniahidi kuanzia mwezi wa kumi nakuwa kimada, nakushangaa tu

 
Sasa mbona unasema kwa sauti hadi watu wote wanasikia
unadhani ni mimi tu na kavu kuti tunaotaka hawara?
we nitakupm kimya kimya, walafi wakijua km uko singleboy watanipora...

Usiwe na shaka mamaa hakuna wa kukupora,wangeshanichukua muda mrefu ila skuwa tayari ndiyo maana hata sijatuma maombi kwa@Kavu Kuti nkijua wewe utakuja tu.
Faster hebu tuma hiyo PM kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…