Saivi washatoa "Android 10-Q" !! Yaani android developers wanatapatapa sana mtu leo unanua simu lakini hayo ma update simu inakuwa outdated ndani ya muda mfupi sanaa. Mtaalamu Chief-Mkwawa hebu tufafanulie hii imekaaje? Binafsi naona kama ni mbinu za kibiashara zaidi kuliko mahitaji ya msingi. Na hili ndio limenifundisha kuchukia android OSJana nilipata notification kuwa android 9 ipo tayari kwa simu yangu (Samsung galaxy S8) nikaweka kifurushi kisha nikapakua na ku install updats.
Kweli simu ikapanda toka android 8 to 9. Pia features kibao zimebadirika ikiwa muonekano na baadhi ya mipangilio.
Ila kuna features za msingi sana zimekuwa discontinued, hii imeifanya simu kuwa ya upweke sana
View attachment 1036737
Kuna vitu kama mult tasking sivioni kabisa, na pia Navigation buttons hazivutii kabisa.
View attachment 1036742
Home button, back button zimekuwa hivyo. Sio za kubonyeza, unaswipe juu kidogo ndio zinafanya kazi
System Tray imekuwa na mvuto kidogo sio kama ya mara ya kwanza
View attachment 1036746
Pia Dolby atmos imeongezeka na kuleta ubora wa sauti na diferent Reverb venues
View attachment 1036747
Pia notifications bar nayo imekuwa poa sana. Ina match na edge screen
Nitazidi kuleta mrejesho kadili ninavyozidi kuichunguza simu
Saivi washatoa "Android 10-Q" !! Yaani android developers wanatapatapa sana mtu leo unanua simu lakini hayo ma update simu inakuwa outdated ndani ya muda mfupi sanaa. Mtaalamu Chief-Mkwawa hebu tufafanulie hii imekaaje? Binafsi naona kama ni mbinu za kibiashara zaidi kuliko mahitaji ya msingi. Na hili ndio limenifundisha kuchukia android OS
Na hapa ndipo iOS anapochukua sana pointSaivi washatoa "Android 10-Q" !! Yaani android developers wanatapatapa sana mtu leo unanua simu lakini hayo ma update simu inakuwa outdated ndani ya muda mfupi sanaa. Mtaalamu Chief-Mkwawa hebu tufafanulie hii imekaaje? Binafsi naona kama ni mbinu za kibiashara zaidi kuliko mahitaji ya msingi. Na hili ndio limenifundisha kuchukia android OS
na hapa apple ndipo wanaonyesha umakini wao,Ni kweli unachosema. Maana huwa sioni improvement kubwa sana toka OS version moja kwenda nyingine. Nafikiri wangekuwa wana Fix bugs tuuu. Once ikitokea Massive Improvement basi ndio wabadirishe Version
HaswaaNa hapa ndipo iOS anapochukua sana point
Nimeupdate kwenda android 9 kuna mazuri mengi sana nayapata. Imenikera siweza kusplit screen tena kwa ajili ya multitasking. Alieweza anielekeze. Natumia Samsung J7 Neo
Hii sio beta kweli?!Android Version 10 (Q) on my Google Pixel 2 XL
View attachment 1176107
Hili ni moja ya malalamiko moja wapo makubwa ya PieKWENYE SIMU YANGU INAMALIZA BATTERY BALAA... TOFAUTI NA NILIVYOKUWA NA OREO
Yah. Ni beta ya 6 ambayo ni ya mwisho kabla ya public releaseHii sio beta kweli?!
Google wanajipendelea sana.Android Version 10 (Q) on my Google Pixel 2 XL
View attachment 1176107
Okay..Yah. Ni beta ya 6 ambayo ni ya mwisho kabla ya public release
KUMBE SIKO PEKE YANGUHili ni moja ya malalamiko moja wapo makubwa ya Pie
Ndio mkuuKUMBE SIKO PEKE YANGU
NIMESIKIA ANDROID 10 IMETOKANdio mkuu
Ndio ipo kwenye hatua za mwisho mwishoNIMESIKIA ANDROID 10 IMETOKA
TUNAISUBIRI KWA HAMUNdio ipo kwenye hatua za mwisho mwisho