Nimepata Android 9 (PIE) baada ku update simu yangu

Nenda
Heshima kwako mkuu! Naomba elimu ya jinsi ya ku ugrade manually to android 9. Nina android 8.1. Natanguliza shukrani
Nenda kwenye menu, halafu software update kama una samsung,check kama kuna update, baadae itaanza kudownload. unatakiwa kuwa na bundle ya kutosha kwa sababu ni kubwa kama 2GB, then itakupa maelekezo nini cha kufanya
 
na watumiaji wa infinix hot 6x update ya pie ni lini wadau
 
Wakuu naombeni msaada namna ya kublock Namba kwenye Tecko Y3+ ..au app inayofaa kublock Namba isipatikane kabisa. Asanteni
 
hapana ila wanazo simu zao nyingn tayar ziko updated kama smart 2 ila kama yangu bado na imetoka mwaka mmoja
 
Wakuu naona kumbe kuna ambao wameipenda hii android pie, kwa kweli me naiona kama mzigo huku kwangu
 
Iko poa ila setting yake hiyo nimeiweka off ili kutunza Moto badala yake nimeweka ambient light sensor on, kila jua likizama au kuchomoza rangi inabadilika
Mkuu nina simu kama yako, vipi kwenye kipengele cha Adaptive brightness inajipunguza na kujiongezea mwanga vyema?
 
Kabla ya kwenda huko android 9 uli root cm yako ama vp
 
hapana ila wanazo simu zao nyingn tayar ziko updated kama smart 2 ila kama yangu bado na imetoka mwaka mmoja
Smart 2 ya nani TZ ina update ya Pie mkuu? Sabu wametoa kwa raia wa India tu kama beta testers.... Kwa sim za watu wote bado hawajatoa update ya hizo sim maana naskia Kernel version ya hivo vi sim inawaumiza vichwa Developers....
 
ilikua

sijajua kama ni kwa India tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…