Nimepata Android 9 (PIE) baada ku update simu yangu

Android bhana , [emoji23][emoji23][emoji23], mtu akipata update ni jambo la kushangaza. Kama ngekewa vile


Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3] mbona watu walifungua uzi humu walivyopata ios 12...different name,same story [emoji3][emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mkuu hiyo simu yako (SM-G920P) ina pandisha 4G?
Maana na mimi natumia kama hiyo pia, ila haina 4G, na nibaada ya ku update android kutoka 6 to 7 (manually), but ilivyo kuwa na android 6 ilikuwa na 4G. now ina 3G tu.
Sijui shida nu nini?
Inapandisha mkuu

Set manually au utumie custom rom

Rom yako ya 7 umeipata wapi? Haisumbui network? Nipe link

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kwangu Pia ki-nokia 2.1 kimeniletea alert ya Android version 9 pie Jana. Baada ya ku-install naona line ya 4G imepunguza Kasi sana ya kuprocess mtandao nikiwa naperuzi.

Nifanyeje wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung wame-release Android Pie, ina 1904MB ingia mchukue, Mara zote third world tunakuwa wa mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…