Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,648
Chukua rukia mazoez Kwa afya ya mwili πππ
Pooza usije ng'oka meno................Hii chai ya moto sanaβ¦β¦β¦
Ni hadithi au ndoto!AIBU
Kama kawaida mzee wa visa nakuletea kisa kingine iki apa twende sawa.
Dada naomba nipeleke huko kwa wamama kuna aibu imenipata nilikuwa ukweni yani nilienda kwa mara ya kwanza na nilifika usiku nikapewa chumba nililala peke yangu sasa usiku nikabanwa na haja kubwa na chooni sipajui na kutoka nje naogopa ikabidi nichukue chupi yangu nikanyea halafu nikaificha chini ya kitanda lengo langu asubuhi nikatupe.
Sasa asubuhi nimeamka nataka kutoka nikamuona mkwe wangu na wifi yangu wamekaa ikabidi nirudishe mzigo ndani uvunguni nikatoka mwenyewe nikasalimia wifi yangu akainuka akaingia chumbani kwangu sijui alienda kufanya usafi maana aliingia na ufagio gafla naona anamuita mkwe wangu jamani hapo nawaza wasije wakauwona mzigo ila nikasema mbona upo uvunguni.
Mara nikaona wanatoka huku wifi kashika mavi kwenye zoleo halafu mama mkwe anaguna huku anasema kweli kuishi kwingi kuona mengi.
Hata Uongo ndugu yangu huwa una kipimo...AIBU

Sahihi kabisaUkuwa ukweni
Usile hovyo Ili;
Usinye hovyo
Usijambe hovyo
Usiende ende chooni.
Ni Bora ukodi bode ukanye choo Cha Baar au Cha kulipia,ni mwiko kunya kunya ukweni.
Ni mwiko kukaa sana ukweni
Usiongee sana,
Usizurure sana
Si ndio ππππ½ββοΈππ½ββοΈπππππππππlzm wakushangae na ukalala nayo
Bora umetoa ushuhuda mana watu wanang'ang'ania chai chai kunleki zaoiko kisa ni cha kweli kilitokea uko Morogoro wiki iliyoisha