Nimepapenda humu!

Jamani mimi sio mkaguzi bali nataka kukaguliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ndio nimemjibu KOKUTONA kuwa unahitaji kukaguliwa. Halafu naona wakaguzi wanakukimbia sijui una nini?
 
Last edited by a moderator:
hivi mi kumbe ni muke ya mutu oopss, unajua nilipata ajali network yote ya kichwa haipatikani, hebu nikumbushe mume wangu ni nani vile?

jamani ni sea breeze. ama kweli no network coverage!

hebu kimbia kaniandale maji ya kuoga! then chapchap nahitaji chai ya moto niwahi kazi mama!
 
jamani ni sea breeze. ama kweli no network coverage!

hebu kimbia kaniandale maji ya kuoga! then chapchap nahitaji chai ya moto niwahi kazi mama!

kumbe we ndio haziband wangu, hebu naomba kile cheti cha ndoa nidhibitishe kama kweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…