Nimepangwa Mkoa wapwani,wilaya ya Rufiji.

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Hivi uko rufiji kukoje?kule ni halmashauri au la,msaada tubadilishane na mtu mimi niende Bagamoyo yeye Rufiji.
 
Hivi uko rufiji kukoje?kule ni halmashauri au la,msaada tubadilishane na mtu mimi niende Bagamoyo yeye Rufiji.

Inavyoelekea wewe hata hufai kupangiwa popote kama hujui hata Rufiji kama ni halmashauri na pili inadhihirisha wazi kuwa hunahitaji kazi ila unachotaka ni starehe. Wewe Rufiji usiende na Bagamoyo hutopelekwa!!
 
Back
Top Bottom