Magesti wana shindana na dodomaMazuri tu....wafanya biashara kibao, magest bwelele, vyakula kibao, misikiti IPO, makanisa yapo, hospitali zipo......mitandao yote inapatikana.
Pesa yako tu
Ik.. mkuu karbu sana.. me mwenyeji wako hapa town.. ukitaka nikupeleke restaurant niambie tu manMambo ya Municipal and industrial training
OkNitoe namba zako basi PM
Kweli kabisa mkuu... hii ni wilaya moja matata sana kwa mikoa yote yaan Lindi & Mtwara.. Karibu tu Nahisi patapew hadhi yaMkoa mwngine wa kusiniMasasi ni pazuri, ni wilaya iliyoendelea kuliko zingine za mkoa wa mtwara. Ni Junction ya barabara ya kwenda nachingwea, songea, newala na mtwara mjini. Usafiri ni wa uhakika kutoka dar na ni lami tupu hadi unafika.
U never regret to be there, I have been there kwa miaka minne wakati nasoma o level. It's a good place for sure.
Masasi ni kuzuri aisee japo ni wilaya isitoshe Nasasi ni kubwa kulijo Lindi..Lindi na Masasi wapi kuzuri na wapi ni karibu kutokea dar?