KAKA A TAIFA JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 566 Reaction score 83 Nov 9, 2011 #1 Nilivyosema nimeoteshwa kwamba serikali imefilisika hamkunielewa .sasa nasema imeanza kuwa kweli. Kwani serikali inakopa zaidi kwenye taasisi za kibenki zaidi stanbic.
Nilivyosema nimeoteshwa kwamba serikali imefilisika hamkunielewa .sasa nasema imeanza kuwa kweli. Kwani serikali inakopa zaidi kwenye taasisi za kibenki zaidi stanbic.
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 10,028 Reaction score 5,870 Nov 9, 2011 #3 tunaelekea kuwa kama ugiriki
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,407 Nov 9, 2011 #4 dah .... na log Off...
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,924 Reaction score 4,595 Nov 9, 2011 #5 watumishi wa ummawatajiju
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Nov 9, 2011 #6 PhD said: watumishi wa ummawatajiju Click to expand... Iliyobaki ni kuacha kazi sasa na kujipanga upya, maana huko tunakoelekea si kuzuri.
PhD said: watumishi wa ummawatajiju Click to expand... Iliyobaki ni kuacha kazi sasa na kujipanga upya, maana huko tunakoelekea si kuzuri.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Nov 9, 2011 #7 wakubali masharti ya cameroon!
K Kamongo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2009 Posts 2,369 Reaction score 2,740 Nov 9, 2011 #8 Mtandao ndio shida huko HAZINA tunasikia,bora nilivyo amua kujiajiri tangu 1998
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Nov 9, 2011 #9 ndoto za mchana au usiku.
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,465 Nov 9, 2011 #10 Emanuel Makofia said: wakubali masharti ya cameroon! Click to expand... Huyu Gei anaitwa David Cameron na siyo Cameroon! Jina linatamkwa Kameroni na Nchi ya akina Eto inatamkwa Kameruni
Emanuel Makofia said: wakubali masharti ya cameroon! Click to expand... Huyu Gei anaitwa David Cameron na siyo Cameroon! Jina linatamkwa Kameroni na Nchi ya akina Eto inatamkwa Kameruni