Nimeoteshwa kuwa ccm itakufa 2015

AirTanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
1,139
Reaction score
1,040
Watanzania wenzangu leo mchana nimeoteshwa kuwa Serikali ya Vilaza itaondolewa madarakani na Chadema na kufilia mbali. Serikali itayoshika madaraka 2015 itawafunga Mafisadi wote waliolifisadi hili Taifa. Kwa hiyo wakina Kikwete na Genge lake la Mafisadi watanyea debe 2015, huku chama chao cha CCM kitaendelea kupoteza wanachama na kufilia mbali na kaburi lake litakuwa Dodoma. Hii ndoto yangu ni ya ukweli na nyie subiri za kwenu muoteshwe na mje mtupe mlichoambiwa na Mungu
 
Naiamini ndoto hii kwa 100%!
Wapi Miss Judith apige jungu na fitna hapa tena!
Kwani wewe uko wapi?...Kama upo Samunge sema ili ianze misururu ya kuja kutafsiriwa ndoto kwa watu wa dunia nzima!
 
Ungeoteshwa usiku ningeamini.
Umeota huku unatembea.
 
Naiamini ndoto hii kwa 100%!
Wapi Miss Judith apige jungu na fitna hapa tena!
Kwani wewe uko wapi?...Kama upo Samunge sema ili ianze misururu ya kuja kutafsiriwa ndoto kwa watu wa dunia nzima!

Ndoto hii nilioteshwa nimeambiwa kuwa 2012 kwenye uchaguzi wa Mafisadi kutakuwa na mtafaruku mkubwa sana kiasi cha kuchangia hicho chama cha Mafisadi a. k.a CCM kuanza kumemenyuka kwa kipo ICU kinasubiria 2012 kuzimwa Machine za kupumua.
 
 
kwa faida yako! unapoota ndoto siku zote ina maana yake, na hivyo kabla ya kuja hapa jF ungeenda kwa watafasili ndoto. kwa maelezo ya hiyo ndoto uliyoota inaonyenya kwamba si ccm itakufa bali ni dk slaa kafukukuzwa unachama baada ya kufumaniwa na mwenekiti wake. huyu jamaa ni kijogooooo kwelikweli.
 
Wapi Miss Judith apige jungu na fitna hapa tena!

PK unamaana Miss Judith haamini ndoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…