Nimeota

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
1:Ujinga Ni pale unapo Sema mama ongea na mwanao wakati Unauza madawa ya kulevya
2:unapo Sema ccm mbele kwa mbele wakati Twiga anapanda ndege masai anapunga mkono
3:mbele kwa mbele bongo movie unalipwa elfu kumi
4:wakati mtu anakula mihogo na maharage uku Mke wake anazunguka Tanzania nzima kunadi sela Za chama

........Nawe Weka ya Kwako shikamoo tcra
 
Sheria ya Mitandao ni kiboko! Watu siku hizi wamebuni neno "NIMEOTA"! Chunga, wameshagundua wenzako.
 
Mkuu umenichekesha ulivyomalozia tu hapo mwisho "Shikamoo tcra"
 
Unasema hapa kazi tu.. Wakati umemaliza chuo huna kazi
 
Hapa Kazi Tu Uraisi Urahis Ni Ukawa
 
Chagua(.......) mchapakazi, wakati uongozi ni kuongoza, unatuma wachapakazi wakuletee ripoti.. ukichapa kazi wewe! utampelekea nani ripoti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…