Nimeota ndoto...

Nimeota ndoto...

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,637
Walikuwepo watu wengi, wengine wazungu, wengine waafrika. Nilikuwa nafanya discussion na mwanamke mmoja wa Kizungu. Tulikuwa tunaongea lakini yeye alikuwa mbali kidogo, anaongea sisikii vizuri. Yeye hajaelewa kwamba simsikii, kwamba anaongea peke yake. Nikawaambia walio karibu naye wamwambie anisogelee kidogo.

Akainua kiti chake akanisogelea at a suitable distance, lakini alipoanza kukaa ghafla akaanguka chini. Akawa anagalala pale chini anashindwa kuinuka anauliza, "Kwa nini nimeanguka? Au ndio wewe umenifanya nianguke?" Akagalagala pale anazidi kunyong'onyea, akafa. Alipokufa tu akafunikwa na shuka.

Alipofunikwa tu na shuka, yule jamaa aliyeketi pembeni yangu, ambaye tulikuwa tunaongea vizuri, akanyoosha mkono wake akanishika mkono. Yule jamaa ni askari magereza, kavaa nguo za brown. Yeye na mwenzake. Wananiambia, "Twende, wewe tutakunyonga." Wanaongea very calmly, first one, then the other, wanarudiarudia, "Wewe tutakunyonga." Halafu wakasema, "Hebu rudi hapo uchukue vitambulisho vyako. Tunaondoka na wewe."

Kwa hiyo nikarudi, nachukua vitambulisho, yupo mtu wa Chadema pale ananipa vitambulisho. Nikawa namnong'onezea yule mtu wa Chadema, "Sikiliza wanavyosema, kwamba wataninyonga." Wataninyonga, siyo kwamba watanipeleka mahakamani.

Such a silly dream, nimeamka, najiuliza why did I dream such a silly dream? Isipokuwa kuanguka mtu chini niliona kunafanana kama wale watu wanapoombewa na "Nabii" halafu wanaanguka, something which I have always marvelled about, jinsi wanavyoweza kuanguka bila kuumia.
 
Kwa hiyo Gwajima ataomba mtu afe kitini?
 
Amka wewe waliokaa kwenye viti wamewekwa na nguvu za miungu mingi! Hivyo usije ukakojoa kitandani!
 
Poppy Hatonn kwamba watashindwa kumtetea? Really? Wataishia njiani na kitanzi kinamhusu! Sad! Hivi kwamba dhamira iko bayana? Aisee! Tuombe uzima tushuhudie ya kina Ken Saro-Wiwa. Anyway baada ya kuiona live ikaja tena ndotoni. Time will tell...
 
Ninavyotafsiri mimi hiyo ndoto ni kwamba kuna mtu atapeksheni kama nyayo za Gwajima ni sugu.
 
Kwenye hiyo ndoto rais wetu ni huyo anayeenda kunyongwa au ni hao askari magereza wanapenda kinyonga mtu?au jamaa amewahi kushtuka kabla mkombozi hajatokea
Kawahi kushtuka 😄😄
 
Walikuwepo watu wengi, wengine wazungu, wengine waafrika. Nilikuwa nafanya discussion na mwanamke mmoja wa Kizungu. Tulikuwa tunaongea lakini yeye alikuwa mbali kidogo, anaongea sisikii vizuri. Yeye hajaelewa kwamba simsikii, kwamba anaongea peke yake. Nikawaambia walio karibu naye wamwambie anisogelee kidogo.

Akainua kiti chake akanisogelea at a suitable distance, lakini alipoanza kukaa ghafla akaanguka chini. Akawa anagalala pale chini anashindwa kuinuka anauliza, "Kwa nini nimeanguka? Au ndio wewe umenifanya nianguke?" Akagalagala pale anazidi kunyong'onyea, akafa. Alipokufa tu akafunikwa na shuka.

Alipofunikwa tu na shuka, yule jamaa aliyeketi pembeni yangu, ambaye tulikuwa tunaongea vizuri, akanyoosha mkono wake akanishika mkono. Yule jamaa ni askari magereza, kavaa nguo za brown. Yeye na mwenzake. Wananiambia, "Twende, wewe tutakunyonga." Wanaongea very calmly, first one, then the other, wanarudiarudia, "Wewe tutakunyonga." Halafu wakasema, "Hebu rudi hapo uchukue vitambulisho vyako. Tunaondoka na wewe."

Kwa hiyo nikarudi, nachukua vitambulisho, yupo mtu wa Chadema pale ananipa vitambulisho. Nikawa namnong'onezea yule mtu wa Chadema, "Sikiliza wanavyosema, kwamba wataninyonga." Wataninyonga, siyo kwamba watanipeleka mahakamani.

Such a silly dream, nimeamka, najiuliza why did I dream such a silly dream? Isipokuwa kuanguka mtu chini niliona kunafanana kama wale watu wanapoombewa na "Nabii" halafu wanaanguka, something which I have always marvelled about, jinsi wanavyoweza kuanguka bila kuumia.
Ulikuwa unafikiria sana kesi ya Lissu akiwa mahakamani akisimamiwa na askari magereza kwa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom