Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Wapendwa wanajamii habari zenu?
Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo na harakati za hapa na pale katika kuhakikisha ilimradi mkono uende kinywani.
Kwa upande wangu mambo yote yako poa ila kuna jambo linanitatiza sana. Jana usiku kuamkia leo nikiwa usingizini niliota nilikua nakunywa dawa ya miti lakini kabla ya kunywa nilitapika sana niliposhituka nimejaa mate tele nguoni na ile dawa sikuinywa. Kwa wale waelewa wa mambo ya ndoto au yafananayo na hayo, je ni kitu gani hicho au ndoto tu?
5ᵗʰpost 2019
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°