Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Wakuu habari zenu.
Natumai kwenye jukwaa hili wapo baadhi ya member ambao ni wataalam wa mambo mbali mbali ya kiufundi electronics, sasa mwenzenu kwa bahati mbaya leo hii mchana wakati nafungulia Tv walau nipate kuangalia habari na mambo mbali mbali yanayojiri/yanayowndelea hapa nchini kwetu, kwa bahati nzuri/mbaya wkati naongeza sauti ya tv, nikagundua kuwa spika za tv yangu hazitoi sauti vizuri. Hivyo ilibidi niifungue ili kujua tatizo ndipo nimegundua spika zake tayari zimechanika. Hivyo nawaomba msaada wenu kwa mwenye kuwa nazo ili aniuzie au mwenye kujua duka la vifaa ambalo nitaweza kuzipata kwa hapa Dar naomba anijulishe. Tv ni Samsung 32".
Msaada wenu tafadhalini.
4ᵗʰpost 2019
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°