kumbe mwatiana tamaa??
Sasa unachoshangaa hapo ni nini? Kweli nyani haoni kun...le, mbona hushangai jina ulilotuwekea hapa ni tofauti na jina lako halisi?Katika purukushani zangu za hapa na pale kuna memba mmoja wa JF wa zamani (jina kapuni) akanionesha demu wa JF. Kuingia JF na kuona avatar yake wache niumie mbavu kwa kucheka, ni vitu viwili tofauti, duhh japo kungekuwa kuna kamfanano kadogo nimgemsifu.
Nawaomba mijimama na mijibaba ya JF msizuge na kuwatia watu tamaa kwa avatar ambazo hamfanani nazo hata chembe.
mi mwenyewe ndo nashangaa sikulijua hili..
Ribosome,
Matokeo ya fom foo yaliyotoka juzi, umepata divisheni gani?
Mawazo kama ya serikali yako, mtu hasemi au hafanyi kitu hadi aambiwe au atumweNani aliokwambia?
Kwahiyo Amina hapa wewe uko live!?
Sana tena, sijui wengine, mie nishaomba mtu anijulishe huyo mwenye avatar anaitwa nani, niitafute picha yake kubwa niwe nafarijika nayo.