Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
achana nae, tafuta mzuri zaidi yake
mimi kuna manzi nilimuelewa ni jirani yangu akaleta dharau, saivi naleta mademu wazuri geto na anawaona kila siku nabadili, yeye ndio ananitafuta anakuja geto mi hata namba nishafuta
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli kabisa life it's too short ya nn ujichosheGood endelea hivyo hivyo ,Life is too short Kukaa kubembeleza mtu wakati huo yy hakuthamini .
1. Hakkisha unaanza kumuonyesha humjali (ni ngumu lakini inawezekana)Wakuu Habari!!
Kuna Msichana mmoja nipo nae kwa mahusiano sema Kuna faulo moja nimefanya ya kumuonyesha nampenda sana na hii naona inapelekea kunidharau na kuniona si kitu mbele yake nimekuja hapa kuuliza jambo gani ninaweza kufanya ili turudi kama awali maana naona kama Ana dharau sana nowadays
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Hakkisha unaanza kumuonyesha humjali (ni ngumu lakini inawezekana)
2. Mwanamke wa kiafrika siku zote ukimuonyesha unampenda ndio umempoteza.
3. Mfanyie vurugu, anzisha visa ikiwezekana mkate vibao alafu akimaliza kulia mbembeleze.
4. Demokrasia waachie ccm na chadema. Kwenye mahusiano hakuna demokrasia.
5. Mpelekeshe.
6. Muwekee "economic sanctions"! Kama ulikua unampa pesa cha chips acha kuanzia leo... Kama huwezi acha punguza!!
7. Jua kwamba uko kwenye hatua ya mwisho ya mahusiano... Jiandae kisaikolojia kumpoteza.
8. Tafuta mbadala wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
huruhusiwi kuonyesha hisia zote kwa demu wako za kumpenda kijana. ao watu ukiwaonyesha upende huwa wanakua ivio zarau wanafany kila aina ya jambo wakijua tuu si unampenda sanaa. na wakijua huwez muacha sababu una mpenda sana
NikuleteeDah we jamaa !
Magisha
[emoji23]Mkuu, sajili laini nyingine, isave namba hiyo kwenye simu yako hivi 'Stela Mlimani city' halafu anza kujichatisha kumahaba.
NBnjia hii inahitaji uwe na kiasi fulani cha ukichaa