Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
embu elezea vizuri, unamaana gani kusema mabadiliko ya kimwili ya mme wake juu yako.
sijakuelewa hapo. naomba nifafanulie
Labda hii......
embu elezea vizuri, unamaana gani kusema mabadiliko ya kimwili ya mme wake juu yako.
sijakuelewa hapo. naomba nifafanulie
mhm hizi chance mbona wengine hatupati jamani!!??? sasa wee muombe utamu uenjoy nae bwana...au hukuvutiwa na utupu wake?
... Mkuu' unatakaajaribu thumu! Akiganda je? Na mwenye mali akamkuta!
Wengine hawana cha kusubiri' hapohapo' naye anaanza kuema mgogoni mwako... tiG., tiG., tiG....
Labda hii......
Vipi mwanamke mwenyewe kwa muonekano anakuvutia? Does she worth the risk(s)?...Nishaurini nifanye nini kumuepuka ? Nimepanga chumba hapa na nimelipa kodi ya mwaka mzima,ni jirani tu chumba cha nne toka kwangu
=
....... kumbuka mke wa m2 ni sumu walisema wahenga.
Huku uswahilini majirani huwa tunabadilishana namba ili mwizi akitokea basi hakuna kupiga kelele bali tunatumiana sms then mwizi anajikuta tumemweka kati.Namba yako alikuwa nayo kabla, au ulivoona utupu ndo na namba akachukua?
Huku uswahilini majirani huwa tunabadilishana namba ili mwizi akitokea basi hakuna kupiga kelele bali tunatumiana sms then mwizi anajikuta tumemweka kati.
Tatizo unajenga picha ya aina za msg ulizozizoea wewe...msg ka kitabu.Huo muda unaoandika msg huyo mwizi anakusubiri tu?
Tatizo unajenga picha ya aina za msg ulizozizoea wewe...msg ka kitabu.
Mwanamke haangushi kanga bahati mbaya akiwa anatoka kuoga mbele ya mwanamme.
Utakuwa kavulana, hujui hata kutizama picha