Nimeona utupu wa mke wa mtu,,sasa imekuwa tabu!! Ushauri

embu elezea vizuri, unamaana gani kusema mabadiliko ya kimwili ya mme wake juu yako.
sijakuelewa hapo. naomba nifafanulie

Labda hii......


BMW-Motorcycle-Gave-Him-A-Permanent-Erection.jpg
 
Ujue sometime haya mambo yana sura zaidi alfu alfu milioni laki na zaidi..... Cha msingi angali mazingira kama ukiona kwenye ramani yako unweza kuonana na mwenye mali basi achana na hiyo njia ishi hivyo kimtego mtego na uridhike hadi huyo mke asome namba mwenyewe.
 
mhm hizi chance mbona wengine hatupati jamani!!??? sasa wee muombe utamu uenjoy nae bwana...au hukuvutiwa na utupu wake?


... Mkuu' unatakaajaribu thumu! Akiganda je? Na mwenye mali akamkuta!
Wengine hawana cha kusubiri' hapohapo' naye anaanza kuema mgogoni mwako... tiG., tiG., tiG....
 
Ah!! kwani kwa vituko hivyo anavyofanya ukiuchuna itakuaje? achana na mke wa mtu bwana, hakutakii mema.
 
Are you sure nguo ilianguka au iliangushwa???? Aliamgika au alijiangusha??? Mke wa mtu ni sumu, chukua kaulie panya.
 
... Mkuu' unatakaajaribu thumu! Akiganda je? Na mwenye mali akamkuta!
Wengine hawana cha kusubiri' hapohapo' naye anaanza kuema mgogoni mwako... tiG., tiG., tiG....

the choice u make the price u pay kaka...ndio maana mie nashauri kuwa kama unatoka na mke wa mtu make sure nawe unamla tigo incase wewe ukija liwa tigo
 
mi naona kuona iyo kitu ni swala moja na kushawishika kupiga illegal game ni ishu nyingine so ishu ya kuona ishapita jitahidi kuifuta kichwani kwa kujiaminisha kwamba kitu yake haina kwaliti yako. next acha kabisa biashara ya mawasiliano nae maana kama kweli huna nia nae na unauhakika anataka kukipeleka jehanam ya mbinguni na jehanam ya duniani achana nae mwambie ukweli kuwa umemshtukia na akiendelea usijibu tena simu wala sms zake. quran inasema "Wa ala takarab zinaa" yaani usiikaribie zinaa yani sio ku duu tu bali hata kuikaribia, pia biblia inaeleza zinaa ni uchafu uchafuao hekalu la mungu( mwili na roho) sasa jifikirie yani watu wapo kanisani we unaingia na fuko lako la uchafu unamwaga pale altareni je itakuwaje ?
 
...Nishaurini nifanye nini kumuepuka ? Nimepanga chumba hapa na nimelipa kodi ya mwaka mzima,ni jirani tu chumba cha nne toka kwangu
=
Vipi mwanamke mwenyewe kwa muonekano anakuvutia? Does she worth the risk(s)?
 
kwa hiyo ulipoona utupu wake tu ukamuomba namba ya simu??au unatuzingua tu,inaelekea hizo msg mlianza kutumiana siku nyingi,hata hiyo khanga aliidondosha makusudi baada ya kuwa msg zimenoga,MKE WA MTU NI SUMU,kumbuka ukiamua kuinywa uwe na MAZIWA karibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hilo haliitaji kuomba ushauri, maana unajua balaa lake jamaa akistuka...!
kaka utakujakojoa dagaa. mpotezee kabisa.
 
Namba yako alikuwa nayo kabla, au ulivoona utupu ndo na namba akachukua?
Huku uswahilini majirani huwa tunabadilishana namba ili mwizi akitokea basi hakuna kupiga kelele bali tunatumiana sms then mwizi anajikuta tumemweka kati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom