Nimeona ninyoshe mikono

kweli mwenzetu una moyo,na jinsi walvo wengi huon kama umewabania hao wengine buure,au ndo hzo mara klara zinawapotosha?
 
Hujatuambia age lakini kama ni under 18 ni malaika zako wanakuepushia mgogoro na vijana wa saidi mwema. Vinginevyo unautafuta ubwana jela.... Maana utakua huko kwa muda mrefu sana...
 
Kutakuwa na sababu kama tatu kwa nn unatoswa 1.unatongoza kwa kutia huruma 2.pili unaonyesha midadi kwamba ukikapata lazima ukachane kwa mda uliopteza 3.we ---- huna sound pazia

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForu
 
Sepa zako tu unaweza spend muda mrefu kufukuzia, siku unakubaliwa unakuja realise ulikuwa unafukuzia mali mbovu.
 
Hujatuambia age lakini kama ni under 18 ni malaika zako wanakuepushia mgogoro na vijana wa saidi mwema. Vinginevyo unautafuta ubwana jela.... Maana utakua huko kwa muda mrefu sana...

mi raia mwema bana! sifukuzii wanuka mkojo
 
kwa kweli...jibu sahihi hili😀
 
Dem akijua unampenda atataka akuumize kchwa,cku zuga huna habar naye huone atakuuliza au akikasirika ujue anakupenda huyo ila na ye akipotezea hyo ujue maumiv kwako jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…