mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
Hujui kusoma alama za nyakati?kuna kabinti nimekafukuzia zaidi ya miaka 2, mpaka leo hajawahi kunipa jibu kama ananipenda ama hanipendi zaidi ya kuigiza tu tukiwa pamoja tunaongea. na kila nikijaribu kumchombeza kanakua kakali sana,mpaka nimeshindwa kukaelewa.
nishajaribu kumuuliza siku kama ananipenda au hanipendi anipe jibu moja nijue, akaishia kucheka na hakunipa jibu lolote.
sasa hii mara ya mwisho nimejaribu kumgusa bega wakati tunaongea amepaniki kinoma nikamuuliza tatizo ni nini?majibu yake kwa kweli mi sijayaelewa, kwani anasema kama ninataka kuongea naye niende siku nyingine yeye amechoka.kwa kweli nimeshindwa kumwelewa na nimechoka kuishi katika maisha ya dilema nikiwa siju msimamo wake kuhus mimi ni nini.
hivi kweli niendelee kusubiri maana nimeshachoka mwenzenu?
Duh miaka miwili?
ungekuwa na shamba la mahindi ungevuna mara ngapi?
afukuzwae haambiwi toka... sasa wewe hapo unasubiri nini?? hakupendi huyo usilazimishe mapenzi mwache binti wa watu!!!
wee kwanza miaka miwili mingi sana ulishashindwa vita hiyo kaka...saa nyingine ni vyema kukubali mapema kuwa hapa nimebugi na usepe zako
wee kwanza miaka miwili mingi sana ulishashindwa vita hiyo kaka...saa nyingine ni vyema kukubali mapema kuwa hapa nimebugi na usepe zako
Duh miaka miwili?
ungekuwa na shamba la mahindi ungevuna mara ngapi?
Duh miaka miwili?
ungekuwa na shamba la mahindi ungevuna mara ngapi?
Hujui kusoma alama za nyakati?
Usidhani kushindwa kwake kusema kama anakupenda kunamaanisha kuwa hakupendi. Hivi umewahi kuwasikia wale niangusage mwenyewe! Labya ni wa type hiyo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ushafanywa zombie siku nyiiiiiiingi.
Acha kumuuza mwenzio bwana. Kuna mashamba ya korosho, unasubiri miaka 5 na unavuna maisha yako yote. Kama she is worth it acha asage soli!
Acha kumuuza mwenzio bwana. Kuna mashamba ya korosho, unasubiri miaka 5 na unavuna maisha yako yote. Kama she is worth it acha asage soli!
Bado anakupima, angalao mwaka wa 4 au wa 5 anaweza kukubali. we ongeza tu bidii. Hata siku akikuambia live kuwa hakutaki, wewe usichukulie siriazi, mara nyingine hawamaanishagi. weka tu juhudi, runners never quit mkuu.
Baadae ufahamu ukirudi vizuri utajicheka sana.