Nimeona nafuu ya moyo wangu ni kukaa kimya

Jaribu kutafuta tatizo ni nini, unawza kukuta na yeye ana lake moyoni kuhusu wewe-kaambiwa baya au kahisi kuna baya kutoka kwako, if possible give him time alone, kabla haujafanya maamuzi mazito
Wengine ndivyo tulivyoumbwa,binafsi toka ujana wangu nikiwa kwenye mahusiano sijawahi shika simu kumtafuta hata akae mwezi....-! Nakaa tayari tayari akisepa asepe tu
 
Back
Top Bottom