Nimeona bora nimuache aende tu

Pesa
Pesa
Pesa
Ni PM namba zake please
 
Huombi anakupa tu wala hakuulizi za nn kazi sasa kwa mashoko mzoba woiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23]ila babe si tunajuana,..me siombi hela mwanaume hasa wa dar..[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanaume wa dar kama kucheza biko

Nimecheka kwa nguuuuvuuuuu[emoji23]?aau kubeti[emoji23]halafu, mara pyaaaa jamvi limechanika woiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana unaanza kuombwa wewe sasa
Nimecheka kwa nguuuuvuuuuu[emoji23]?aau kubeti[emoji23]halafu, mara pyaaaa jamvi limechanika woiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muache tu KICHAA wangu, wanawake si 7 utapata mwingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana unaanza kuombwa wewe sasa
Shuniii em niacheee mm jomoniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unajiona umepata mtu wa maana kumbe anakuset aanze kupiga makombora yake ya maana
Shuniii em niacheee mm jomoniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤸🤸🤸🤸🤸🤸 nakazia na mm nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nakojoaaaaaa mkojo mrefuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤸🤸🤸🤸🤸🤸 nakazia na mm nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]tukojoe tyuu babe wanguu,ndio kilchobaki
 
Me mwenyewe mahitaji yangu yananipasua kichwa af nianze kuumiza kichwa kwajili y mahtaj y mwenzangu
 
Pole sana mkuu alikuwa anakufany buzi sisi wanawake kama mwanaume haumpendi utamuombaje mahela
Shunie baadhi ya wadada hutengeneza uadui na mwanaume bila wao kujua.
Wangejua tu kuwa kumkomoa mwanaume kwa kumpiga vibom kunamfanya akuone boya.. na atakapokutema ndio utajua umuhi. Wake maana utakosa mahal kwingine pa kupiga vibomu
 
Mm demu akiniomba pesa tu naachana nae hapohapo....pole mkuu ....karbu chama LA wabahili
 
Ni kweli kabisa
Shunie baadhi ya wadada hutengeneza uadui na mwanaume bila wao kujua.
Wangejua tu kuwa kumkomoa mwanaume kwa kumpiga vibom kunamfanya akuone boya.. na atakapokutema ndio utajua umuhi. Wake maana utakosa mahal kwingine pa kupiga vibomu
 
Mbaya zaidi unapomtumia, anang'ang'ania umtumie na ya kutolea kwenye simu. Hataki hata kujiongeza. Anapokuja kukusalimia unamtoa na pocket money. Akitaka kuondoka, anaomba na hela ya kupandia Bajaji au Boda boda. Unabaki unashangaa, kuwa nusu saa iliyopita umetoka kumpa kama elfu thelasini, anashindwa nini kukata pale buku apandie boda boda! Unaawaza kuwa huyu anakufanya kama ATM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…