Mwenyewe anataka umwache ndo maana anapiga mizingaHuyu ni mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja lakini sasa nasema baaaaasi.Kazidisha sana njaa ndomana nimeona bora nimuache aende.
Tabia kubwa ambayo inanikera na nimeivumilia mwishowe nimeshindwa ni kwamba unaweza mtumia pesa leo lakIni baada ya siku mbili tu anakupiga mzinga mwingine sasa nabaki najiuliza ndani siku mbili anawezaje kutumia pesa bila mpangilio.
Kiukweli nimemvumilia sana tu ila sasa ngoja niwaachie wenye mpunga mnene huenda wakawezana nae ila kwangu mimi niseme tu imetosha.
Wanawake jifunzeni jinsi ya kuomba pesa, sio mtu anakutumia pesa leo baada ya siku mbili unaomba tena inamana unaemuomba yeye hana matumizi na pesa ama inakuaje.
Tukumbuke kwamba kila mtu ana maisha mengine nje ya mahusiano, kuna ndugu na jamaa nao wanahitaji msaada vilevile sio kwamba mwanamke tu ndo mwenye haki ya kutumia pesa za mpenzi wake.
Wacha awepelekee wengine sinema zake mimi kwangu imetosha.
Yani we acha tu ndugu, yani nimemsaidia sana tu ila hanaga matumizi mazuri na pesa ye anajua kila mara pesa yangu inakua haina kazi nyingine ndomana nimemshindwa kwakweli.Hii tabia imeshamiri sikuizi sana miongoni mwa wadada. Yaani ww unakuwa life support wake hapa mjini.
Kibom kila baada ya siku moja au maasa kadhaa. Mbaya zaid hawabadiliki hata umonye vipi.
Tabia hii huambatana na kuto kushukuru anachopewa, kutokuridhika, na ubinafsi.
Ukiona hawezi acha hizi tabia.. basi piga chin maana atakuletea shidah mbeleni..
*HATUKATAI WADADA KUOMBA HELA KWA MPENZ WAKO LAKIN OMBENI KWA UTARATIB MAALUMU
Pole mzee maana umeingiaa Choo cha kikee cha Kijeshiii...!!Pole mimi wangu nimempa jana 50000. Ila yeye mwenyewe akasema atanirudishia ijumaa akipokea mshahara maana bosi wao hayapo.. ndio tatizo la kudate under 28.
Kwa taarifa yako hajaanza lao hadi huwa namuambia usirudishe maana ni wajibu wangu kukufanyiaPole mzee maana umeingiaa Choo cha kikee cha Kijeshiii...!!
Kama huna helaa muache wenye Helaa wamchukuee mzeee usijekuugua Kichaa bure
Aaha kumbe pesa ya Kuhongaa unayoo mkuuu...!! Sema usimzoeshe vibaya Mwisho wa siku ujee uanzee kuliaa Liaa humuu...Ikiongaaa ongaa kwa akili usijedhani unapendwaaa mzeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa taarifa yako hajaanza lao hadi huwa namuambia usirudishe maana ni wajibu wangu kukufanyia
hayo mambo tuachieni, vifua hivi vina mengi sanaPole sana,.ungemtafutia kazi ya kufanya lakini,.
Ila kuomba-omba kipaji jamanii mweh!!![emoji28]
[emoji121]Pole mimi wangu nimempa jana 50000. Ila yeye mwenyewe akasema atanirudishia ijumaa akipokea mshahara maana bosi wao hayapo.. ndio tatizo la kudate under 28.
Vifua vina mengi kweli havipasuki tuu...haha hahaahayo mambo tuachieni, vifua hivi vina mengi[emoji85]
kufa hatufi, cha moto sasaVifua vina mengi kweli havipasuki tuu...haha hahaa
Naomba nikuombe kwa utaratibu maalum D,J...[emoji56]Hii tabia imeshamiri sikuizi sana miongoni mwa wadada. Yaani ww unakuwa life support wake hapa mjini.
Kibom kila baada ya siku moja au maasa kadhaa. Mbaya zaid hawabadiliki hata umonye vipi.
Tabia hii huambatana na kuto kushukuru anachopewa, kutokuridhika, na ubinafsi.
Ukiona hawezi acha hizi tabia.. basi piga chin maana atakuletea shidah mbeleni..
*HATUKATAI WADADA KUOMBA HELA KWA MPENZ WAKO LAKIN OMBENI KWA UTARATIB MAALUMU