Nimeombwa Kuwa MC, haya niongezeeni ujuzi.

baada ya kuwaita watu wote muhimu kwenda kula keki (kama itakuwepo), anza kwa kumwagia sifa kemkem mtu atayefuata kula keki bila kumtaja jina halafu mwishoni unaenda mwenyewe.
 
Ah mkuu madoido ya kutafutiza hv utaharibu,
Panga ratiba iwe fupi na kutoa nafasi zaidi ya burudani kuliko kuongea.
Jaza punch unaposhika mic usitetemeke na kuwa strait, tumia maneno fasaha kwa lugha fasaha, usisahau kuikaribisha "sense of humor" na bashasha usoni pako!
Pia jitahidi kutokea kiupekee sana kimavazi yaani mavazi ya hadhi na heshima..
Epuka kulazimisha kuchekesha watu kama wewe sio mchekeshaji na hujui kuchekesha.
Hyo sherehe itakuwa tamu sana naona
 

good advice mkuu.
be yourself mkuu,usijikakamue kuwa kile amchacho si ww.
nakuombea ufanikishe zaid ya unavyofikiri sbb inaonesha ni mara yako ya kwanza lkn mkuu jiamin nina uhakika utafanya vizur.
 

Natumia simu na haina kale ka "like". Noted.
 
mkuu umenichekesha sana sana...nikushukuru wewe....by the way..nani amethubutu kumpa chizi tena fureshi kazi ya kusheheresha?.....
 
mwenyewe hapa tuna sherehe next week ya kuukaribisha mwaka mpya,hivo ni jambo la kawaida mc,maujuzi yatakuja tu ukishashika mic,all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…