Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 457
Wakuu heshima kwenu za ukweli kabisa. Ndugu yenu nimeombwa kuwa Mshereheshaji MC kweli tafrija ya kuaga mwaka2011 na kuukaribisha mwaka 2012. Jukumu kama hili sijawahi kulifanya japo nimeaminiwa kutokana ushiriki wangu wa kawaida kwenye maswala ya kijamii. Kwa maana hiyo nadhani nahitaji ujuzi zaidi katika kufanikisha matarajio ya washiriki. Mwenye kunisaidia madoido ya kunogesha sherehe na afanye hivyo sasa. Tunategemea mgeni rasmi kuwa ni mkuu wa mkoa. Naleta kwenu.