Mimi naona ni issue ya kawaida tu unamsaidia anaenda zake. Unataka amuombe nani wakati wewe ndio ulikuwa karibu wakati huo ana shida. Acha mawazo potovu
wapo wanafunzi wa dizain hiyo..mimi wakati nipo form 1 nilikua na rafiki angu alikuaga anakula ela yote shule alafu mda wa kuondoka anamuomba mtu yoyote atakaemuona mladi ni mwanaume ata akute mkaka amepaki bajaji anamsogelea anamuomba ata mia tatu yaan tulikua tunamshangaa sana.