Hii ilinikuta naingia kwenye oral nikaanza tetemeka ngeli ikapotea kichwani yaan daaahKaka kuwa makini sana izi mambo ndo unakuja tetemeka kweny oral punguza wasiwasi mistake ndogo zinacost sana
Tuwe makini Kwa vitu vidogo kuna jamaa nilimuona kuapply anatetemeka🤣🤣🤣Hii ilinikuta naingia kwenye oral nikaanza tetemeka ngeli ikapotea kichwani yaan daaah
Why jmn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ilinikuta naingia kwenye oral nikaanza tetemeka ngeli ikapotea kichwani yaan daaah
Acha tu ilkua ndo interview ya kwnza kuitwa af apo niko mtaa miaka kadhaaWhy jmn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole snAcha tu ilkua ndo interview ya kwnza kuitwa af apo niko mtaa miaka kadhaa
Asante snaaPole sn
Daah hizi kazi zimekua na upepo flan hv hauelewekiTuwe makini Kwa vitu vidogo kuna jamaa nilimuona kuapply anatetemeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shukran mkuu ngoja nijarb nitatoa mrejesho wa challenge au Kama nimefanikiwaUnaruhusiwa kubadili barua kabla ya deadline. Fanya hivyo chap
Hauko serious, nashauri hata hao TRA wasikupe kazi maana utakua mzigo kwa taifa.Habar ndugu,
Hizi kazi sijui Zina nn sijawah kukosea Ila Leo yamenikuta nimeomba Tax management Officer 11 lakin barua niliandaa kwa ajili ya Customs Management officer 11
Mwanzo nilipanga kuomba CMO lkn nikabadilisha upepo na kupanga kuomba TMO na ndio hvo nimeomba TMO kwa. Barua ya CMO
Naombeni ushauri kabla ya deadline WAKUU WA JAMII FORUM REPUBLIC
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Pata kazi kwanza acha utoto... Utaomba recategorization mbeleni huko.Habar ndugu,