Nimeomba Second Round nimerudi kwenye profile yangu nimekuta hivi

img_20160914_071615-jpg.400582

Kama nimeelewa vizuri, wanakujulisha kuwa wamekujubu sababu uliingia kwenye hiyo page yao. BUT results bado hazijatolewa rasmi bado zipo pending ili kuangalia kama unastahili kupata hiyo nafasi.
CAS imefuinguliwa na imeanza mchakato wa awamu ya pili ya uteuzi kwa wale walishindwa kuwasilisha maombi kwa wakati kwenye awamu za kwanza za uteuzi wa wanaoomba.
Matokeo rasimi yatatangazwa mara tu yatakapopatikana. Aksante.
Naona kama hujachaguliwa, usiende kushangilia, tulia subiri na kunja kidole ili uone mwisho.
 
mhh unamisha sijachaguliwa bado?
 
Wewe [emoji1][emoji1] kiingereza unakijua vizuri?
 
Sijasoma shule ila najua provisionally haimanishi keshapata ila jina lake limo kati ya wateule mpaka chombo husika kitoe list ya mwisho. Wewe mwenzangu msomi tufafanulie.
 
Msibishane bhana ,elewanen ipatikane maana kamil
 
TCU bdo kigugumizi hats mmi cku ya kwanza kabsa niambiwa hvyo nilipolog in ila baadae nikaambiwa hujachaguliwa..
Na profile ya mtu ambae provisionally selected haiwi hvyo.
Alafu ictoshe deadline haijafika na kwnn waweke deadline alfu mtu uchaguliwe kabla tarehe yenyew haijafika..
Kaa tafakari kaka nenda ukwawaone kma bado inaandika hvyo ucjitie moyo waweza kosa chuo bure
 
ndugu ubachoambiwa changanya na yako hapo siyo kama umechaguliwa we add awamu ya pili hiyo n kama umeandikwa tu lhata kwangu ipo hivo lakin nimeahaapply ukijifanya unaikiliza maneno utasubir mwakani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom