Nimeokota vyeti vya Samson Y. Mwambwiga

telma

Member
May 19, 2018
12
14
Habari,

Kama nilivopokea (As received)

Nimeokota vyeti vya *SAMSON Y MWAMBWIGA*

1. Result slip ya form four
2. Result slip form six
3. Cheti cha kuzaliwa
4. Cheti cha kifo cha mzazi

Anitafute kwa namba 0763301018 au 0786914510

Tafadhali share kwa wengine hili tangazo liweze kumfikia mhusika
Ahsante.
 
Habari,

Kama nilivopokea (As received)Nimeokota vyeti vya *SAMSON Y MWAMBWIGA*

1. Result slip ya form four
2. Result slip form six
3. Cheti cha kuzaliwa
4. Cheti cha kifo cha mzazi

Anitafute kwa namba 0763301018 au 0786914510

Tafadhali share kwa wengine hili tangazo liweze kumfikia mhusika
Ahsante.
Haka kajamaa nakajua ,nikaajabu Sana.Kanafundishaga hesabu na hakana utulivu wala makazi maalum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom