Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Acha uroho elfu 50 kwa kazi gan ulofanya... Koz kisheria ukiokota kitu peleka polis coz ukikamatwa nacho unajulikana n mwizi!!... Hata 30 kakupendelea ilibid asante tu inatoshaHabari zenu wana jamvi natumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya wiki,
Leo mnamo muda wa wa saa 12 jioni nikiwa home nikasema wacha nitoke kidogo niende bazizan nikashangae shange,
Nimefika pale nikaona hakuna la ziada nikaamua niondoke ile napanda kwenye pikipiki yangu kuna jamaa wawili tunafahamiana na wao walikuwa wana pikipiki aina ya boxer wakawa wanataka kuondoka wakaniambia oya bonge umedondosha simu yako ile kutupa jicho nikaiona nikaiokota nikaondoka mpaka nyumbani ile kuanza kukagua sms nikakuta sms ya M-PESA mwenye simu tarehe 9/05/ amefanya muamala wa kutoa 70000/= salio likiwa ni sh 291,000/=
Ile kufika muda wa saa 3 usiku jamaa akanipigia simu kwenye laini zake kuwa yupo Runzewe nikamwambia mimi nipo Ushirombo akasema atanipa 30000/= kama shukrani ya kumuokotea simu na kuonyesha uaminifu ,
Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.
Kwa hiyo nichukue tu elfu 30?Acha uroho elfu 50 kwa kazi gan ulofanya... Koz kisheria ukiokota kitu peleka polis coz ukikamatwa nacho unajulikana n mwizi!!... Hata 30 kakupendelea ilibid asante tu inatosha
Mkuu ila mi naona anipe hata elfu 50 tu manake alipoiangushia ni sehemu ambapo vijana wanachezea kamari so wangeinkota wao na lain wangekuwa washavunja kitambo sana.Watu wengi binaadamu wachache.
Vaa viatu vya muhusika,ungekuwa wewe...ungefanyaje???
Kwasababu hiyo ela Hata hauwezi kuitoa.
Ukiacha tamaa itakusaidia maishani mwako,siku zote za uhai wako.
Kazi ni kwakoMkuu ila mi naona anipe hata elfu 50 tu manake alipoiangushia ni sehemu ambapo vijana wanachezea kamari so wangeinkota wao na lain wangekuwa washavunja kitambo sana.
Usichukue hata senti tano mkuu. Mrudishie tu. Utalipwa kwa namna nyingineKwa hiyo nichukue tu elfu 30?
Au labda anadhani ni vocha?sasa hata kama kuna 291,000 Nywila ya kutolea hiyo hela unaijua?
Au labda anadhani ni vocha?sasa hata kama kuna 291,000 Nywila ya kutolea hiyo hela unaijua?
Kuwa muangalifu,,utaibiwa sasa hiviHabari zenu wana jamvi natumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya wiki,
Leo mnamo muda wa wa saa 12 jioni nikiwa home nikasema wacha nitoke kidogo niende bazizan nikashangae shange,
Nimefika pale nikaona hakuna la ziada nikaamua niondoke ile napanda kwenye pikipiki yangu kuna jamaa wawili tunafahamiana na wao walikuwa wana pikipiki aina ya boxer wakawa wanataka kuondoka wakaniambia oya bonge umedondosha simu yako ile kutupa jicho nikaiona nikaiokota nikaondoka mpaka nyumbani ile kuanza kukagua sms nikakuta sms ya M-PESA mwenye simu tarehe 9/05/ amefanya muamala wa kutoa 70000/= salio likiwa ni sh 291,000/=
Ile kufika muda wa saa 3 usiku jamaa akanipigia simu kwenye laini zake kuwa yupo Runzewe nikamwambia mimi nipo Ushirombo akasema atanipa 30000/= kama shukrani ya kumuokotea simu na kuonyesha uaminifu ,
Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.
Inaelekea bado hujanielewa weyeMkuu ila mi naona anipe hata elfu 50 tu manake alipoiangushia ni sehemu ambapo vijana wanachezea kamari so wangeinkota wao na lain wangekuwa washavunja kitambo sana.
Mkuu kivipi?Nishambaini mbaya wangu....