Nimeokota kitambulisho cha NIDA

Mungu akubaariki kwa wema wako
 
Chukua angalizo wakati unakipeleka hicho kitambulisho Polisi ,hao jamaa hawana dogo wanaweza wakakuambia uisaidie polisi kidogo....Peleka Serikali za mitaa /ofisi za mtendaji.
Kbsaa aiseesiwez kwenda humo mm au nikitupe kbsaa sitaki ujinga mm

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna umuhimu mkubwa vitambulisho viwe na contact ya muhusika
Ndio nadhani wangeweka mfumo huo na kama mtu akibadili namba ya simu, kuwe na namna labda kuona namba za simu za muhusika kupitia namba ya NIDA kwenye mfumo wa NIDA.

Na zaidi kuwe na mfumo wa kuripoti kadi iliyopotea kwa mmiliki, ili ziweze kuonekana na wengine ambao wameokota. Yaani mtu akipoteza kadi atafute loss report itakayomuwezesha kuripoti tukio la kupotea kwenye mfumo wa NIDA.

Hii itasaidia watu kupata kadi zao kirahisi. Mfumo huu unaweza ukatumika hata kwenye sekta nyingine pia.
 
Peleka polisi, then uje upost hapa. Kama uwezo huo unao.

Japo binafsi sijioni nikipeleka popote, polisi wetu jau sana.
 
Wema huzaa maumivu juzi kati kuna jamaa aliokota waleti yenye vitambulisho na pesa taslimu kama milion hiv kasoro bas kwakuwa alikuwa mwema akaenda tangaza kwa jiran punde akaambiwa huyu flan anaish sehem flan muokotaj huyo mpaka kwa muhusika, kufika pale akamuelekeza na kumkabidhi kilichotokea kesi iko mahakaman kapigwa fain ya shiling m5 jamaa mdondosha pochi akidai alivamiwa na kuporwa wema huu sina hamu nao saiv nikikuta poch yenye vitambulisho nachomoa pesa nanunua kibriiti aka kiberiti cha kasuku napiga moto kupotezaaa isije wazee wa finger print waka nasa alama zangu nikatafutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…